Kuna siri ngani kati ya Francis Cheka na Batarokota wakutana faraga?
Kuna siri ngani kati ya Francis Cheka na Batarokota wakutana faraga? Picha juu Francis Cheka kushoto na Batarokota kulia. Tanzania, moja kati ya mabondia na wasaniii walioweka heshima kubwa Tanzania, katika mchezo wa ngumi na sanaa ni bondia Francis Cheka na Batarokota msanii aliyemu kwa muda mrefu katika tasnia ya mziki asili leo wamekutana kuweka mambo pamoja ili waweze kufanya kazi kwa pamoja kuusu vipaji vyao. Mambo yote watayaweka hadharani januari,2018.